Tuesday, March 6, 2012

yale yaleeeeeee,,,,,,

Ankali habari ya kuendeleza libeneke. Jana jioni nilipita pale Ubungo  stand ya daladala na kutumia huduma ya choo cha kulipia  kilichopo pale na kupewa hiyo risiti, Nawapongeza hao TANROADS sijui sasa ni Ofisi ipi kwani hiyo risiti haina anuani,kwa kutoa risiti hii kidogo itawasaidia kudhibiti mapato, watoa huduma wengine kwenu ikoje??????


Mdau Ubungo

No comments:

Post a Comment