Monday, March 19, 2012

MWANADIASPORA PROF JULIUS NYANG'ORO AONGEA NA VIJIMAMBO

Prof Julius Nyang'oro wa Chuo Kikuu cha Carolina ya Kasikazini Nchini Marekani ataongea na Vijimambo akitueleza historia yake kwa ufupi na kitabu cha "WASIFU WA JK" kwanini amemchagua Rais Kikwete badala ya Marais waliopita na ukitaka kujiunga na vyuo vya Marekani kwa Ada nafuu unatakiwa ufanye nini!!

No comments:

Post a Comment