Wednesday, March 21, 2012

BODI YA TASAF YA KAGUA MIRADI INAYODHAMINI KATIKA KISIWA CHA PEMBA

 Makamu mwenyekiti wa Bodi ya mfuko wa Maendeleo ya Jamii ulio chini ya ofisi ya Rais (TASAF) ambaye vilevile ni Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh Abassi Kandoro akioneshwa nyaraka za wajasriamali wa kisiwa cha Pemba  anaye muonesha nyaraka hizo ni ofisa mdhamini ofisi ya makamu wa pili wa Rais zanziba Bw Amran Masoud Amran na  kulia kwake ni Mkurugenzi Ntendaji wa TASAF  Bw. Ladislausi Mwamanga 
Wajumbe wabodi ya TASAF wakitembelea ofisi za mfuko huo kisiwani Pemba. Toka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa  mfuko huo  Bw Laduslausi Mwamanga, mjumbe wa bodi na ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wizara ya usafirishaji kutoka tanzania bara bwana John Mngodo, Makamu Mwenyekiti wa bodi na mkuu wa mkoa wa mbeya Mh Abbas  Kandoro na mwisho ni ofisa kutoka ofisi ya makamu wa pili wa rais zanziba  Bw Amran Masoud Amran 

No comments:

Post a Comment