Thursday, March 22, 2012

mdau Donard Mmari alamba nondozzz ya Uzamivu katika Uchumi (PhD) - ISS/Eramus, Netherlands.

 Siku ya Jumatatu tarehe 19 March 2012, Jopo la Udaktari la Chuo Kikuu cha ISS/Erasmus University, Netherlands, lilimtunukia mdau Donard Mmari Nondozzzzz  ya Uzamivu  (PhD ) katika masuala ya tafiti za kiuchumi, baada ya kutetea utafiti wake katika "Institutional Innovations and Competitiveness of Smallholders in Tanzania" 
 Dr Mmari akiwa anatetea tafiti yake mbele ya jopo la Udaktari la ISS University kabla ya kulambishwa nondozzz yake. 
Hapa akifurhia baada ya kulamba nondozzzz yake

No comments:

Post a Comment