Monday, March 19, 2012

LINAH KUWASHA MOTO PASAKA MARYLAND, MAREKANI

Mwanamuziki wa kizazi kipya Linah ambae yupo Washington, DC kwa kwa ziara ya TAMANI US TOUR itakayoanza rasmi April 7, 2012 kwenye kiota cha RENDEZVOUS kilichopo Rockville, Maryland wakishirikiana na mwanamuziki machachari wa hapa Washington AJ Ubao, show hiii imeandaliwa na J&P wakishirikiana na DMK Global chini ya usaidizi wa Luke Music Factory. Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment