Monday, March 19, 2012

Mashindano ya Darts Mkoa wa Dar es Salaam yazinduliwa

Meneja matukio wa Kampuni ya Bia Tanzania, Zozmick Kimati (kulia) akicheza kuashilia ufunguzi wa mashindano ya Darts yayotambulika kama “Ngome Floting Cup” yanayofanyika Msasani Beach Klab Jijini.Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Darts Mkoa wa Dar es Salaam, Azim Haji Mohamed.
Mwenyekiti wa Chama cha Darts Mkoa wa Dar es Salaam, Azim Haji Mohamed (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ufunguzi wa mashindano ya chezo huo yanayotambulika kama “Ngome Floting Cup” yanayofanyika Msasani Beach Klab Jijini.Kushoto ni Meneja matukio wa Kampuni ya Bia Tanzania, Zozmick Kimati na Katibu mwenezi wa Chama hicho, Kamdas Kibago.
Mwenyekiti wa Chama cha Darts Mkoa wa Dar es Salaam, Azim Haji Mohamed (kulia) akicheza kuashilia ufunguzi wa mashindano ya mchezo huo yanayotambulika kama “Ngome Floting Cup” yanayofanyika Msasani Beach Klab Jijini.Kushoto ni Meneja matukio wa Kampuni ya Bia Tanzania, Zozmick Kimati .

No comments:

Post a Comment