Thursday, March 22, 2012

RATIBA YA MAONYESHO YA WIKI YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI “VET WEEK” CHUO CHA UFUNDI VETA – DAR ES SALAAM

23RD MARCH – 24TH MARCH 2012
S/N
TUKIO
MUDA
WAHUSIKA
1ST DAY1.
KUWASILI CHUONI
3.00 – 4.00
KAMATI YA MAONYESHO/ WAALIKWA NA WATU WOTE
2.
KUWASILI MGENI RASMI
4.00 – 4.30
MGENI RASMI/ MKUU WA CHUO
3.
UFUNGUZI RASMI WA MAONYESHO
4.30 – 5.30
MGENI RASMI/ KAMATI YA MAPOKEZI/ WOTE
4.
KUTEMBELEA MAONYESHO
5.30 – 11.00
MGENI RASMI/ WAALIKWA/WOTE
2ND DAY1.
KUWASILI CHUONI
3.00 – 3.30
WOTE
2.
KUTEMBELEA MAONYESHO
3.30 -10.00
WOTE
3.
KUFUNGA MAONYESHO/ HITIMISHO
10.00 – 11.00
MGENI RASMI/ MKUU WA CHUO/ WAFANYAKAZI WOTE NA WANAFUNZI.

No comments:

Post a Comment