Thursday, March 22, 2012

NSSF yasaidia wakaazi wa arusha kupimwa afya zao bure

 Mganga mkuu wa  mkoa wa Arusha Dkt Frida Mokiti  akiwa anapima afya yake wakati wa siku ya upimaji bure iliyoandaliwa na NSSF inayofanyika katika kiwanja cha sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo
 Upimaji afya ukiendelea
Viongozi wa NSSF wa mkoa nao wanaelekea kupimwa afya  zao.
 Picha na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii, Arusha

No comments:

Post a Comment