Wednesday, March 21, 2012

ORODHA YA MAWAKALA WATAKAOANDAA MASHINDANO YA UREMBO YA MISS TANZANIA 2012.

 Orodha ya Mawakala watakao andaa masshindano ya urembo ya Redds Miss Tanzania 2012.

Orodha hii imegawanyika kama ngazi ya Mikoa, Kanda, Wilaya na Elimu ya Juu kama ifuatavyo:-

Idadi ya Mikoa ni 22

Kanda ni 11

Wilaya 12

Elimu ya Juu  7

Vituo vya Mkoa wa DSM ni 9

 Mawakala wote hao waliotajwa hapo juu,  ukitoa Mawakala wa Wilaya,  watashiriki katika semina ya Mawakala ambayo imepangwa kufanyika mapema wiki ijayo. Kupata orodha Kamili BOFYA HAPA

 Lundenga
HASHIM LUNDENGA.
MKURUGENZI. 

No comments:

Post a Comment