Wednesday, March 21, 2012

Timu ya ES Sétif ya Algeria yatua nchini tayari kukipiga na simba jumapili UWANJA WA TAIFA, DAR


Timu ya  Entente Sportive Sétifienne  (  ES Sétif  )  ya Algeria ipo nchini tayari kwa ajili ya pambano lao na Simba katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) utakaopigwa katika Uwanja wa Taifa siku ya Jumapili. Hapa wanawasili uwanja wa Karume jijini Dar es salaam kula tizi. Viongozi wao wamelalamikia sana hali ya joto waliyoikuta na ikawabidi waanza tizi saa 11 jua lilipokuwa limetuama kiasi
 Balozi wa Algeria akiwasalimia wachezaji wa timu ya ES Setif kwenye uwanja wa Karume leo jioni
 Baadhi ya wachezaji wao nyota
 Hapa wakifanya mazoezi mepesi
Wachezaji wa timu ya  ES Sétif  ya Algeria pamoja viongozi na balozi wao wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza tizi Uwanja wa Karume.
Habari kamili kuhusu timu hii BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment