Monday, March 19, 2012

Mapambano bado yanaendelea: Sioi Sumari katika kampeni Arumeru Mashariki

Wananchi wakiwa wamekaa kistaarbu huku wakimsikiliza kwa makini mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari  (chini) katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika jana kijiji cha Reguruki, jimbon humo

No comments:

Post a Comment