Tuesday, March 20, 2012

Baraza la Biashara lakutana na Rais Dk Shein Leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizunagumza  na Uongozi wa Baraza la Wafanyabiashara,Wenyeviwanda na Wakulima,Zanzibar walipofika ikulu Mjini Zanzibar leo na walizungumzia masuala ya ushirikiano kati ya sekta binafsi na sekta za Umma,(wa  tatu kulia)ni Rais wa Jumuiya ya wafanya Biashara na wenyeviwanda na wakulima,(Chamber)  Mbarouk Omar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizunagumza  na Uongozi wa Baraza la Wafanyabiashara,Wenyeviwanda na Wakulima,Zanzibar walipofika ikulu Mjini Zanzibar leo na walizungumzia masuala ya ushirikiano kati ya sekta binafsi na sekta za Umma,(wa pili kulia)ni Rais wa Jumuiya ya wafanya Biashara na wenyeviwanda na wakulima,(Chamber) Mbarouk Omar. PIcha na Ramdhan Othman IKULU.

No comments:

Post a Comment