Monday, March 19, 2012

MAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KATIKA MAADHIMISHO YA MAULID YA JUMUIYA YA WANAWAKE WA KIISLAM MOROGORO

 Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kiwete akisalimiana na Jumuiya ya Wanawake wa Kiislamu Tanzania  ( JUWAKITA) Mkoani Morogoro Machi 18.2012 alipohudhuria Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW).   yalioandaliwa na jumiya hiyo ya JUWAKITA
 Mke wa Rias na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete(kulia) na Mwenyekiti  Taifa wa JUWAKITA Mama Shamim Khan kwa  pamoja wakifuatilia ratiba katika Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) katika Chuo cha Kiislam- Morogoro.Maadhimisho hao  yameandaliwa na Jumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania (JUWAKITA) mkoa Morogoro

Wanajumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania (JUWAKITA) mkoani Morogoro kwenye Maulid hayo. Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment