Wednesday, March 21, 2012

JK azindua mradi wa maji Pawaga, mkoani Iringa leo

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua mradi wa maji katika kijiji cha Itunundu,Pawaga wilaya ya Iringa vijijini leo.Wapili kushoto ni Askofu wa Kanisa la Kianglikana Dayosisi ya Ruaha Dr. Joseph Ng’habi na wanne kushoto ni Askofu Mstaafu Donald Mtetemela.Mradi huo umefadhiliwa na Dayosis ya Ruaha Kanisa la Anglikana na marafiki zao.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akikagua chanzo cha maji katika kijiji cha Pawaga kilichopo wilaya ya Iringa vijijini. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu

No comments:

Post a Comment