Tuesday, March 20, 2012

flora mbasha live ndani ya virginia


Waimbaji  wa nyimbo za Injili Florah Mbasha  na Emmanuel Mbasha  Kutoka Tanzania watakuwa wageni katika Kanisa Africa Lighthouse Baptist Temple, Charlottesville, Virginia Jumapili March 25, 2012.  Florah na Emmanuel watamtukuza Mungu kwa nyimbo.  Ibada yetu itaanza saa Nne Asubuhi. Karibuni Wote tuje tumtukuze Mungu wetu.

No comments:

Post a Comment