Wednesday, March 21, 2012

pinda afungua Chuo cha Mafunzo ya Ufundi mkoa wa pwani

 Waziri Mkuu  Mizengo Pinda  akitazama chombo wanachotumia wanachuo kujifunza matengenezo ya umeme wa magari wakati alipofungua chuo cha Mafunzo ya Ufundi (VETA) cha mkoa wa  Pwani kenye eneo la Kongowe , Kibaha leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Korea Kusini Nchini, Bw. Young Hoon Kim baada ya kufungua Chuo cha Mafunzo ya Ufundi  (VETA) mkoa wa Pwani kwenye  eneo la Kongowe leo.  Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza.  

No comments:

Post a Comment