Wednesday, March 21, 2012

kudadadadadeki!!! Azam FC kama barca uwanjani neshno....

Timu ya Azam Fc Tanzania inaonyesha uwezo wa kumiliki mpira kama Barcelona FC ya Spain au Swansea Fc ya England ktk premier league.

Tuone Azam Fc ya Mbagala-Chalambe, Dar-es-Salaam ikitandaza soka la kitabu na pengine mwaka huu inaweza kushiriki ktk mashindano ya kimataifa Africa na kufanya maajabu zaidi ya timu kongwe za Dar na Tanzania.

No comments:

Post a Comment