Wednesday, March 21, 2012

Wamachinga wa Chalinze

Vijana wanaojishughulisha na biashara ndogo ndogo (maarufu kama wamachinga) katika eneo la Chalinze,mkoani Pwani wakiwa wamepumzika huku wakitafakari namna biashara yao itakavyokwenda pindi magari yaliyo safarini yatakaposimama katika eneo hilo. 

No comments:

Post a Comment