Monday, March 19, 2012

Gari yachomoka tairi ikiwa safarini

Gari iliyokuwa imeshehemi maguni ya mkaa,ikiwa imechomoka tairi ya nyuma maeneo ya Mlandizi mkoani Pwani na kuifanya gari hiyo kusimama barabarani hapo kwa muda mrefu.

No comments:

Post a Comment