Thursday, March 22, 2012

SHUKURANI TOKA VICTORIA FOUNDATION KWA WAFADHILI

 Mwenyekiti wa Victoria Foundation Bi Vicky Kamata akitoa msaada wa vyakula,maziwa,matunda,mavazi na magodoro kwa watoto Yatima FTI Masumbwe.MHESHIWA VICKY KAMATA MBUNGE WA GEITA VITI MAALUM NA MWENYEKITI WA VICTORIA FOUNDATION ANAPENDA KUTOA SHUKRANI ZAKE ZA DHATI KWA MAKAMPUNI , TAASISI NA WATU BINAFSI WALIOJITOA KWA HALI NA MALI KUSAIDIA WATOTO YATIMA NA WALEMAVU MKOA WA GEITA, MWENYEZI MUNGU AWARUDISHIE MARA MIA KWA MOYO WAO WA UPENDO. 

WATU NA TAASISI HIZO NI PAMOJA NA EWURA, HOME SHOPPING CENTRE, QUALITY GROUP LIMITED, TRA, GEITA GOLD MINE, MHESHIMIWA MARK BOMANI, PPF, UDF (UNITY IN DIVERSITY FOUNDATION), MKURUGENZI HALIMASHAURI YA WILAYA GEITA NA MERY NOTMAN (KIDSCARE IRELAND)

No comments:

Post a Comment