Monday, March 19, 2012

waziri samia akutana na viongozi wa walemavu wasioona tanzania

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Mh. Samia Suluhu Hassan alipokuwa na  Mazungumzo na Viongozi wa chama cha  walemavu wasiooma Nchini Tanzania wakati walipomtembelea Ofisini Kwake Mtaa wa Luthuli Mjini Dar es Salaam leo. Picha na mdau Ali Meja wa VPO.

No comments:

Post a Comment