Wednesday, March 21, 2012

MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI(MUWSA) YAPATIWA CHETI CHA VIWANGO VYA KIMATAIFA

Naibu waziri wa Maji ,Gerson Lwenge akimkabidhi mwenyekiti wa bodi ya mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi(MUWSA) ,Paul Chikira cheti cha utoaji huduma kwa viwango vya kimataifa(ISO).
Wafanyakazi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi(MUWSA) wakifuatilia kwa makini utolewaji wa cheti cha utoaji huduma kwa viwango vya kimataifa(ISO)kilichotolewa kwa mamlaka hiyo.
Wajumbe wa bodi ya mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi(MUWSA) wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu waziri wa maji ,Gerson Lwenge mara baada ya hafla ya kukabidhi cheti cha cha utoaji huduma kwa viwango vya kimataifa(ISO).Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii Moshi.

No comments:

Post a Comment