Monday, March 19, 2012

hepi besdei mtoto Ryan Richard

Kaka Ryan, japo Mummy hayupo hapo na wewe!
Nakutakia kila la heri. Uwe Mtoto Mzuri siku zote. Ukumbuke kusali na kuwaombea wenye mahitaji. Mungu ajalie nirudi na kuwa nawe, mapema na salama. Nakupenda sana, leo ni miaka 6. Hongera sana.
Mom 

No comments:

Post a Comment