Wednesday, March 21, 2012

Waziri Nundu afungua kongamano la anga jijini Dar leo

Waziri wa Uchukuzi Omari Nundu akifungua kongamano la Taifa la usafiri wa anga leo jijini Dar es Salaam. Jumla ya wataalamu 150 kutoka ndani na nje ya nchi wanahudhuria kongamano hilo la siku mbili.
Naibu waziri wa Uchukuzi Athuman Mfutakamba akiongea jambo na Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta binafsi Esther Mkwizu wakati wa kongamano la Taifa la usafiri wa anga. Jumla ya wataalamu 150 kutoka ndani na nje ya nchi wanahudhuria kongamano hilo la siku mbili linalofanyika katika hoteli ya Serena iliyopo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wajumbe waliohudhuria kongamano la Taifa la usafiri wa anga wakimsikiliza waziri wa Uchukuizi Omari Nundu (hayupo pichani) wakati akifungua kongamano hilo. Jumla ya wataalamu 150 kutoka ndani na nje ya nchi wanahudhuria kongamano hilo la siku mbili linalofanyika katika hoteli ya Serena iliyopo jijini Dar es Salaam.Picha na Anna Nkinda - Maelezo

No comments:

Post a Comment