Tuesday, March 6, 2012

K.I Co.,Ltd yafungua jengo jipya la ofisi zao

Tarehe 26 /2/2/2012 K.I Co.,Ltd tulikuwa na sherehe za ufunguzi wa jengo jipya la ofisi za kampuni, hii iliambatana pamoja na uzinduzi wa tovuti/Website www.kicoltd.jp. Kampuni ya K.I Co.,Ltd ilianzishwa tarehe 25/12/2008.

Kwa ujumla sherehe ilikuwa ni ya mafanikio. K.I Co,.Ltd. tulieleza jinsi tunavyotoa huduma zetu na jinsi tunavyoweza kufanyakazi kwa uaminifu.

Sherehe hizi ziliudhuliwa na Maafisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Japan, Pamoja. Na pia Watanzania waishio Japan na Mataifa mengine ambayo pia yalijitokeza katika kutuunga mkono kutokana na kuvutiwa na huduma zetu.
 


Deligation of Tanzania Embassy Japan with KICoLtd Administration.


Mr. Sakamoto KICoLtd Accountant and Mr. Kotani Purchasing Officer

Paul Massawe from Tanzania National Audit Office

No comments:

Post a Comment