DJ CLEO Mkali Wa Facebook kudondoka Tanzania kwa ajili ya bonge la show Wekeend hii hapa akiwa na wakali wa bongo DULLY SYKES, OMMY DIMPOZ, CHEGGE & TEMBA, WANAUME HALISI, WANAUME TMK, TIP TOP CONNECTION, SUMA LEE Na WAKALI DANCERS.
LINI: JUMAMOSI 10th MARCH 2012
WAPI: POSTA GROUNDS KIJITONYAMA (DAR)
KIINGILIO: 10,000 TSHS
Imeletwa Kwenu Na: Khaya Events & Times FM (Experience Africa)
Powered By Savanna Dry The Premium Cider
No comments:
Post a Comment