Tuesday, March 6, 2012

ulezi ukiandaliwa kwa ajili ya matumizi ya wikiendi hii na siku zijazo...

 Mdau akiandaa ulezi kwa ajili ya matumizi ya wikiendi hii eneo la Kwa Sadala, nje kidogo ya mji wa Moshi. Ulezi hulimwa kwa wingi maeneo haya na hutumika kwa wingi katika mkoa wa Kilimanjaro hasa kwa kutengenezea kilaji maarufu cha Mbege
 Mdau kazini
 hapa vipi
kazi ikiendelea

No comments:

Post a Comment