Tuesday, March 6, 2012

maandalizi ya msimu wa kilimo cha masika mkoani kilimanjaro

 Mdau akipumua baada ya kupanda mahindi katika shamba lake Moshi vijijini, tayari tayari kwa msimu wa kilimo ambapo msimu wa kilimo cha masika ambapo wananchi wa mkoa wa \kilimanjaro wako mstari wa mbele kuwania faida za mvua ndefu zinazoanza mwezi huu
 Kilimo kwa mistari
Kilimo mkoani Kilimanjaro

KWA HABARI KAMILI KUHUSU MSIMU WA 
MVUA ZA MASIKA MSIMU HUU

No comments:

Post a Comment