Tuesday, March 13, 2012

michuano ya NSSF yashika kasi uwanja wa TCC Chang'ombe jijini Dar

 Mwamuzi wa mchezo kati ya timu ya TSN na BTL, Liston Hiari ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika na mmoja wa vijana wanaoandaliwa kuwa waamuzi wa baadaye akitoa kadi ya njano kwa mchezaji wa Business Times Limited aliyecheza vibaya. waamuzi hawa vijana ni kivutio kikubwa katika michauno hii ya kila mwaka ya NSSF inayoshirikisha timu za vyombo vyote vya habari
 Kocha mchezaji Abubakary Kombo wa TSN (shoto) akichuana na Sunday George wa BTL katikia mchezo wa kombe la NSSF jioni hi
 Kikosi cha Business Times Limited (BTL)
 Kikosi cha Tanzania Standard Newspapers Limited (TSN)

 Kocha mchezaji wa timu ya Free Media Queen, Irine Mark akitoa maelejezo kwa wachezaji wa timu yake wakati ilipochuana leo na timu ya Radio Tumaini
Kikosi cha Free Media Queens

No comments:

Post a Comment