Tuesday, March 13, 2012

mh magufuli upoooo???

 Wasafiri wa Mikoa ya kusini huenda wakamalizia safari katika eneo la Kona ya Mlima Mamba katika kijiji cha Mchinga  Wilayani kutokana na barabara kukaribia kujifunga kutokana maporomoo ya Udongo...Sasa ni
kipindi cha Mwaka Mmoja hali hiyo ikizidi kuziba njia pasipo Ufumbuzi..Si kuziba njia tu ikiwa paaendelea kuachwa Huenda pakatokea Maafa makubwa..
 Eneo  hilo la km 90 kati ya Ming'oyo-Lindi na Mbwemkuru-Kilwa ambalo lipo chini ya Uangalizi wa Kampuni ya M A Kharafy ikiwa chini ya mkatabawa makabidhiano.....Kampuni hiyo pia ndiyo iliyopewa kazi ya
Ujenzi wa Barabara hiyo kipande cha km 60 kati ya Nyamwage mkoa wa Pwani na Somanga wilayani Kilwa MKOA WA LINDI ambalo sasa ndio kero kubwa ya Barabara ya DAR,KIBITI KILWA,MTWARA,MASASI,TUNDURU,LIWALE,RUANGWA,NACHINGWEA,NEWALA,TANDAHIMBA,Kupitia
Manispaa YA LINDI. PICHA ZOTE NA MDAU:::Abdulaziz,Lindi

No comments:

Post a Comment