Friday, March 16, 2012

KUMBUKUMBU

MAREHEMU REHEMA BASIL KAVISHE

Ni mwaka Mmoja sasa tangu ulipotutoka dada yetu mpendwa Tarehe 15 March 2011. Kimwili haupo nasi ila kiroho upo nasi.

Unakumbukwa Sana na mwanao mpendwa Ibrahim Mbalika, wadogo zako Mkashida Kavishe, Isdola Kavishe na Miriam Alfred, shemeji zako Hassan Ibrahim na Nassoro Manzi. Wajomba na shangazi zako, mama wakubwa na wadogo, walimu wenzio, ndugu jamaa na marafiki.

Tulikupenda sana ila Mungu alikupenda zaidi.
Mungu alitoa na ametwaa,jina la bwana libarikiwe. Amen.


No comments:

Post a Comment