Mheshimiwa Celina Kombani, Mheshimiwa Angellah Jasmine Kairuki, Mheshimiwa Zainab Kawawa, Mheshimiwa Margareth Sitta, Mama Nortburga Masikini, Siham Ahmed, Mama Asia Kapoli na washiriki wengine wa Kongamano hilo la Wafanyakazi Wanawake
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe Celina Kombani akifungua Kongamano la Wafanyakazi Wanawake lililofanyika katika Ukumbi wa Blue Pearl, Ubungo Plaza, Dar es Salaam
Wabunge wa Viti Maalum wanaowakilisha Vyama vya Wafanyakazi- Mheshimiwa Angellah Jasmine Kairuki (kati) na Mheshimiwa Zainab Kawawa (kulia)
Picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa kongamano hilo
No comments:
Post a Comment