Friday, March 9, 2012

Alice Dosi Mwamsojo akizindua rasmi kampeni ya kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia kampeni iliyoandaliwa na na NGO ya ALICE FOUNDATION 8 machi 2012 siku ya wanawake Duniani viwanja vya sanaa, jijini Dar-es-salaam.Mgeni rasmi alikuwa MH John Mnyika Mbunge Jimbo la UBUNGO.

Mgeni rasmi  mbunge wa Ubungo Mh John Mnyika akizungumza na wananchi wa Jimbo lake katika uzinduzi wa kampeni za kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia
Mwenyekiti wa Alice Foundation Alice Ndosi na mratibu wa miradi (Kwame)Kulia wakimkabidhi Mgeni Rasmi Mbunge wa Ubungo Mh John Mnyika  (katikati)Tshirt katika uzinduzi wa taasisi hiyo
Mrs. Alice Dosi Mwamsojo akizindua rasmi kampeni ya kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia kampeni iliyoandaliwa na na NGO ya ALICE FOUNDATION

No comments:

Post a Comment