Wednesday, March 7, 2012

jokate akutana na migiro new york

Jokate Mwegelo akiwa na Dr AshaRose Migiro, Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayemaliza muda wake alipomtembelea ofisini kwake katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa huko New York, Marekani . Jokate yuko huko alishiriki Mkutano wa Hamsini na Sita wa Wanawake Duniani maarufu kama SCW56 akiwa miongoni mwa viongozi vijana 25 waliochaguliwa kuwakilisha bara la Afrika katika mkutano huo.

No comments:

Post a Comment