Wednesday, March 7, 2012

buriani mpiganaji samson mbega


Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa mwandishi wa Nipashe, marehemu Samson Mbega wakati wa ibada iliyofanyika kwenye kanisa la KKKT usharika wa Temeke jijini Dar es Salaam leo, kabla ya mwili wake kusafirishwa kwa mazishi Kisarawe mkoa wa Pwani. Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii

No comments:

Post a Comment