Wednesday, March 14, 2012

BALOZI LIBERATA R. MULAMULA ateuliwa kuwa MSAIDIZI WA RAIS MWANDAMIZI, MASUALA YA DIPLOMASIA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua BALOZI LIBERATA R. MULAMULA kuwa MSAIDIZI WA RAIS MWANDAMIZI, MASUALA YA DIPLOMASIA.

Kabla ya kuteuliwa kwake Balozi Mulamula alikuwa Katibu Mtendaji wa Nchi za Maziwa Makuu (ICGLR).

Uteuzi huu unaanza tarehe 28 Februari, 2012.
Mwisho.

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.
14 Machi, 2012 

No comments:

Post a Comment