Wednesday, March 14, 2012

Yanga yaitungua African Lyon 1-0 leo

 Beki wa Yanga, Bakari Mbegu akimtoka mshambuliaji wa Africam Lyon, Benedicto Jacob katika ligi Kuu ya Vodacom Uwanja wa Taifa. Yanga ilishinda bao 1-0
 Golikipa wa timu Yanga Said Kasarama akiokoa moja ya hatari zilizoelekezwa langoni mwake wakati wa mchezo wa Ligi Kuu uliofanyika katika Uwanja wa Taifa
Heka heka langoni mwa Yanga. Picha zote na Francis Dande wa Globu ya Jamii

No comments:

Post a Comment