Wednesday, March 14, 2012

UJUMBE WA TANZANIA WAWASILI LUSAKA,ZAMBIA TAYARI KWA MKUTANO WA KAMATI YA UTENDAJI YA CPA KWA BARA LA AFRIKA

 Katibu wa Bunge, Dr. Thomas Kashililah akitoa maelezo kuhusu Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika ambacho yeye ni Katibu Mkuu wake, kushoto kwae ni Mhe. Zitto Kabwe na Mhe. Beatrice Shellukindo. Wa kwanza kulia ni Mhe. Kaimu Balozi, Mama Nyange.
 Mhe. Zitto Kabwe akiuliza swali maofisa wa Ubalozi wa Tanzania waliokuwa wakitoa maelezo kuhusu uhusiano wa kibiashara baina ya Tanzania na Zambia.
 Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Zambia, Mama Nyange akitoa maelezo kwa wabunge wa Tanzania walioko mjini Lusaka kuhudhuria mkutano wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola (CPA). Nyuma yake ni maafisa wa Ubalozi huo pamoja na Mhasibu Mkuu wa Bunge, Ndugu George Seni (wa kwanza kushoto). Picha na Saidi Yakubu

No comments:

Post a Comment