Tuesday, March 6, 2012

Taswira toka kwa Mdau

Mdau Amani Masue ambaye yupo nchini India leo katika pita pita zake katika maeneo mbali mbali ya nchini humo,alijikuta kaibukia katika eneo hili.ambapo alivutiwa na jina la eneo hili na kuamua kuchua taswira ya kibao kinachomtaka mtumiaji wa njia ya eneo hilo kwenda pole pole.

No comments:

Post a Comment