Tuesday, March 6, 2012

Tahadhali inapogeuka kuwa halali

 Pamoja na kwamba kuna tangazo lenye kutahadhalisha tena linaloonekana vizuri tu,lakini bado hawa wenye magari haya wameyaweka hapo hapo.kuna mtu mmoja hupenda kusema kuwa waTz waliowengi ni wavivu sana wa kusoma,sasa sijui na hili nalo linahusiana na kauli hiyo??
Hapa ndio kimewekwa kabisa na kituo cha Taxi.

No comments:

Post a Comment