Wednesday, March 7, 2012

SIMBA YAIKUNG'UTA KAGERA SUGAR 2-1

Mchezaji Freeman Nesta wa Kagera Sugar, akiuondoa mpira miguuni mwa Emmanuel Okwi wa Simba, wakati timu hizo zilipopambana katika Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo. 
Simba ilishinda kwa bao 2-1

No comments:

Post a Comment