Tuesday, March 6, 2012

pinda atembelea Mamlaka ya Maeneo Maaluum ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA)

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipandisha mlima Kilimanjaro wakati alipokwenda  kwenye la Mamlaka ya Maeneo  Maaluum ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA) Mabibo jijini Dar es salaam leo kuzindua Bodi ya Wakurugenzi wa EPZE
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiongozwa na Mkurugenzi  Mkuu wa Mamlaka  ya Maendeo Maalum ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA), Dr. Adhelm Meru  (kulia)kutelemka kutoka kwenye Mlima Kilimanjaro wakati alipokwenda  kwenye eneo hilo Mabibo jijini Dar es salaam leo kuzindua Bodi ya EPZA. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment