Bwana Kaka,
Tuendelee na muendelezo wa kujua jinsi bendi kongwe na studio za zamani walivyoweza kutayarisha na kutoa vibao vya muziki wenye vyombo vilivyopangika kila idara na ujumbe mzito kabisa, tusikilize Maalim Ngurumo na wenzie wa Nuta Jazz band - "Mpenzi nakukanya":
No comments:
Post a Comment