Tuesday, March 13, 2012

New Habari yainyuka bao 1-0 Uhuru Publications mashindano ya NSSF

Mshambuliaji wa Uhuru Publications akimiliki mpira huku akizongwa na beki wa New Habari katika mchezo wa michuano ya kombe la NSSF kwenye uwanja wa TCC Chang'ombe,jijini Dar es Salaam. New Habari ilishinda bao 1-0.
Mchezaji wa Uhuru Publications akimiliki mpira,huku mabeki wa timu ya New Habari wakimzonga zonga.
Waamuzi wa mchezo huo.
Wachezaji wa New Habari 2006 wakishangilia baada ya kuibuka na ushindi mnono wa bao 1-0 dhidi ya Uhuru Publications.

No comments:

Post a Comment