Naibu Waziri wa Nishati na Mani, Adam Malima ( kushoto) mwenye kanzu, akiwaelezea Waandishi wa Habari leo sehemu ya dirisha ambapo wezi walivunja na kuingia Chumbani na kuimba vitu mbalimbali katika chumba alichopanga katika Hoteli ya Kitalii ya Nashera ya Mjini Morogoro.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh.Adam Malima ( kati kati mwenye kanzu) akifanua jinsi alivyolizwa na wezi mabegi matatu wakiwa na vifaa mbalimbali baada ya dirisha la chumba chake kuvunjwa katika Hoteli ya Kitalii ya Nashera ya Mjini hapa, ( kulia ) ni Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini, Mh Innocenti Kalongeries na (kushoto ) ni Meneja wa Hoteli hiyo, Eustusi Mtua .
Mchezo wote ulianzia hapa, anasema Mheshimiwa Malima.
Picha zote na John Nditi wa Globu ya Jamii, mji kasoro Bahari
No comments:
Post a Comment