Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu wa CCM, Benjamin Mkapa akizindua kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Arumeru Mashariki leo katika Uwanja wa Ngaresero.
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akimnadi mgombea ubunge wa tiketi ya CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi huo kwenye Uwanja wa mpira wa Ngaresero leo.
Pamela Sioi Sumari akimnadi mumewe Sioi Sumari wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo za CCM.
Edward Lowassa.
![]() |
Sioi akihutubia kwenye mkutano huo wa uzinduzi wa kampeni za CCM. |
"Wenzetu alama yao ni hii hapa, haina maana yoyote itoeni", ndivyo alisema Kaaya kisha akakitupa hicho kijiti alichokuwa akionyesha. Kushoto ni mratibu wa kampeni za CCM kitaifa Mwigulu
Nchemba.
![]() |
Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama akizungumza. |
Wananchi wa Arumeru Mashariki wakiwa wamefurika kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM leo.
Mmoja wa walioshiriki katika kugombea kura za maoni kupata mgombea wa CCM, Elirehema Kaaya (kulia) akimpongeza mgmbea ubunge kwa tiketi ya CCM Arumeru Mshariki Sioi. wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo.
No comments:
Post a Comment