Tuesday, March 13, 2012

Mwanza waibuka washindi wa jumla fainali za Safari Darts taifa

Mgeni rasmi wa fainali za Safari Darts ngazi ya Taifa,Afisa utamaduni wa mkoa wa Mwanza,Bi. Rosemary Makenke akikabidhi zawadi kwa mabingwa wa mashindano hayo Taifa timu toka mkoa wa Mwanza baada ya kufanikiwa kuibuka washindi wa jumla kwenye wa fainali za mashindano ya safari lager Darts championship yaliyofanyika jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo.
Mwenyekiti wa Mchezo wa Darts Taifa,Bwana Gesase Waigama akizungumza na wachezaji,viongozi na washabiki mbalimbali waliohudhuria kwenye mashindano hayo.
Vikombe vikiwa tayari tayari kwa kwenda wa washindi.
Mchezaji wa timu ya Darts mkoa wa Mwanza akirusha kishale kwenye mchezo wa fainali za mashindano ya safari lager Darts championship yaliyofanyika jijini mwanza usiku wa kuamkia leo.

No comments:

Post a Comment