Monday, March 12, 2012

MSIBA DAR ES SALAAM

FAMILIA YA  MZEE NSUBISI SAMUEL MWAKIPUNDA INASIKITIKA   KUTANGAZA KIFO  CHA BWANA DAVID SAMUEL MWAKIPUNDA(MCHEZAJI WA ZAMANI TIMU YA MPIRA WA KIKAPU YA PAZI)  KILICHOTOKEA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 11/03/2012.

MAZISHI YANATARAJIWA KUFANYIKA KATIKA MAKABURI YA KINONDONI DAR ES SALAAM  SIKU YA JUMATANO TAREHE 14/03/2012. 

HABARI ZIWAFIKIE NDUGU JAMAA NA MARAFIKI POPOTE PALE WALIPO.
“BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE” .

No comments:

Post a Comment