Tuesday, March 6, 2012

Mifuniko yote kwishneiii

Ukiwa unakatika katika maeneo mengi ya jijini Dar,pembezoni mwa barabara kuna chemba za kupitisha maji machafu ambazo nyingi zilikuwa na mifuniko ya chuma ambayo sasa haipo (nafikiri itakuwa ishapelekwa kupimwa kwenye vyuma chakavu) na kuacha mashimo haya yote kuwa wazi namna hii.

No comments:

Post a Comment