Monday, March 5, 2012

Meya wa manispaa ya Moshi awasaidia vijana fedha kwa ajili ya kuanzisha miradi ya mazingira

Meya wa manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akikabidhi fedha kwa vikundi vya vijana katika kata za Pasua na Bomambuzi kwa ajili ya kuanzisha miradi ya mazingira.
Vijana wa kata za Pasua na Bomambuzi wakiagana na Meya wa manispaa ya Moshi Jafary Michael mara baada ya kuwakabidhoi fedha kwa ajili ya kuanzishia miradi.
Vijana wa kata za Pasua na Bomambuzi wakimsilikiza Meya Michael (hayupo pichani) wakati wa hafla fupi iliyifanyika katika shule ya sekondary Anna Mkapa,mwishoni mwa wiki.vijana hao hadi sasa wamekabidhiwa kiasi cha sh milioni 8 kwa ajili ya kuanzisha miradi ya mazingira.Picha na Dixon Busagaga.

No comments:

Post a Comment